Sayansi ya vinasaba (DNA) inazidi kupanuka. Kadri maarifa yanavyoongezeka katika sayansi hii, magonjwa ya kurithi ambayo wanasayansi au jamii walidhani ni ‘magonjwa magumu kueleweka’...
Dar es Salaam. Matumizi holela ya dawa za viuavijasumu (antibaotiki) kwa watoto wenye kuhara husababisha madhara zaidi kwa watoto hao, wataalamu nchini Tanzania wamesisitiza,...
Dar es Salaam. Mbu wanaosambaza vimelea vya ugonjwa wa malaria hupendelea kujificha na kupumzika katika maeneo yasiyofikiwa na dawa ya kuua wadudu wakati wa...
Mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) duniani na hususani barani Afrika, umeleta changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu kutokana na zuio la...
Dar es Salaam. Wanasayansi nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto katika kutafsiri tafiti wanazozifanya na kuziwasilisha kwa lugha rahisi kwa jamii, hususani kupitia vyombo vya...
Dar es Salaam. Mbu wanaosambaza vimelea vya ugonjwa wa malaria hupendelea kujificha na kupumzika katika maeneo yasiyofikiwa na dawa ya kuua wadudu wakati wa...
Arusha. Jukwaa la wanasayansi vijana limeanzishwa ili kuendeleza ubunifu wa kisayansi na kiteknolojia na kuhimiza maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
STEMi-Africa imeanzishwa na wanasayansi vijana...